.

CHF in News

CHF ILIYOBORESHWA MKOMBOZI WA WATANZANIA
Posted on Jul 21, 2020

Sekta ya Afya nchini Tanzania katika kipindi hiki cha miaka mitano ya Serikali ya Awamu ya Tano, imepata mafanikio makubwa sana. Huduma za afya zimeimarika na kuwa bora zaidi kwa kuwa vituo vipya afya vimejengwa na pia upatikanaji wa dawa umekuwa mzuri sana. Katika makala na Selemeni Jafo, Waziri Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Dkt. Dorothy Gwajima, Naibu Katibu Mkuu Afya Ofisi Rais – TAMISEMI na watumishi wengine wamezungumzia mafanikio hayo. Pia, wamezungumzia kuhusu Mfuko wa Bima ya Afya ambao ni CHF Iliyoboreshwa. BONYEZA HAPA KUONA VIDEO