.

CHF in News

CHF ILIYOBORESHWA YAFANYA MAPINDUZI MAKUBWA KATIKA VITUO VYA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA
Posted on Jul 21, 2020

Kulingana na tafiti zisizo rasmi inaonyesha kuwa watu wengi wana uelewa kuhusiana na CHF ya zamani ambayo ilikuwa na changamoto nyingi za kiutendaji. Kutokana na changamoto hizo, serikali iliamua kuja na CHF Iliyoboreshwa ambayo inatatua changamoto mbalimbali zilizopo hapa awali. Katika makala hii Dr. Francis Lutalala, Mratibu wa CHF Mkoa wa Dodoma anaelezea mapinduzi yaliyofanywa na Serikali ya Awamu ya Tano. BONYEZA HAPA KUONA VIDEO