.

CHF in News

WANANCHI WAFAIDIKA NA BIMA YA CHF ILIYOBORESHWA
Posted on Jul 21, 2020

Sekta ya Afya nchini Tanzania imezidi kupiga hatua katika kuboresha huduma. Wananchi wameendelea kufaidika na matokeo hayo. Katika Makala hii Dkt. Dorothy Gwajima, Naibu Katibu Mkuu Afya OR – TAMISEMI na Meneja Mradi wa HPSS Tuimarishe Afya, Bw. Ally - Kebby Abdallah na Katibu wa Kituo cha Afya cha Makole wamezungumzia mafanikio ya Mfuko wa Bima ya Afya jamii – CHF Iliyoboreshwa nchini.  BONYEZA HAPA KUONA VIDEO