.

CHF in News

CHF ILIYOBORESHWA-Huduma bora za Afya na za haraka
Posted on Jul 20, 2020

Dkt. Dorothy Gwajima, Naibu Katibu Mkuu katika Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Afya) amesema kuwa upatikanaji wa huduma za afya kwa wananchi wote kupitia Bima ya CHF Iliyoboreshwa umeongezeka. Wananchi sasa wanapata huduma bora za afya kuanzia ngazi ya zahanati mpaka Hospitali za Rufaa za Mikoa kupitia Bima ya CHF Iliyoboreshwa. BONYEZA HAPA KUONA VIDEO